Mzee wa The Takeover ya TBC fm Dan Chibo, DC Wamilazo akiwa na kina dada wa kundi la Unique Sistaz, kwa majina toka kushoto Rahima, Wamilazo, Radhina & Radhia (Kithethe), hapa ilikuwa ndani ya studio za TBC fm hivi karibuni.
Nini cha kipekee unakumbuka toka kwenye kundi hili.....!?
No comments:
Post a Comment