Sunday, June 19, 2011

Harusi ya Erick & Kate Katika Picha

Erick na Mke Wake K.

Kibe & Agatha
Chichi & Queen

Florian naye.....! Mmhhhh....! Tumuiteje?

Dullah Madebe na Mamaa Lilly

Baba na Mama Wawili

Edwin & Hidaya

Kwa mara nyingine tena

Uncle Johnson & My Wife Wake

Dan Chibo & Hidaya (Shemeji)

Kachiki & Rose
Ahhh Juvenalli kaka, nini tena...!?

Kikosi cha mabachela, nani kung'oka..!?

Vipi tena Chichi...!? Maji yameanza zidi unga nini?

Nice one

Kijiji cha Heineken

Mama Jenie Jenie & Edith

Linus & Agatha

Omari Manji Kazini, David mbasa upo....!?

Family Potrait

Kachiki, Hidaya & Rose

Mr. Erick akionyesha mpango mzima

Muheshimiwa nini tena....!?
Kazi na Dawa

Mtu mzima na Lishemejiiiiiiii!!

Manji Vs Mbasa

Mashostingo

Dullah Madebe

Lillee

Linah

Mh. Mbunge David Mbasa

Linus KB

Agatha

Mh. Omari Manji

Captain Fadhili Mpangara
Florian Bashasha

Edwin Mjwahuzi

Mr. Erick & Dan Chibo

Meno Meno

Mr. Erick akiwa na Mr. & Mrs. D. Madebe

Mr. Erick & Chichi Samaka

Captain na Mtoto wa Captain


Bachela na Bwana Harusi
Chami hoi

Bandugu habategeki

Mhhh...! Mikakati inapangwa.

Kikosi kazi

Mabachela

Wazee wa Manyunyu ndani ya Nyumba


Mganga hugangwa, mtenda hutendwa


No Comment

Wooooh!


Jamaniiii, ila mbona huyo wa nyuma mmemtenga?

Dan Chibo & Chichi

Kalingonji

Superstar Kachiki

Juve

Manji alipoweka dau kwamba Heineken lazima azimalize

Mdau

Mama NYA.....!

Senga Family in the house, wapi Florian BSS.

Mama akiongoza msafara

Mr. Erick akimwaga mistari baada ya kukabidhiwa mkuki

Nice
Mr. & Mrs.

Mama akimkabidhi Erick zawadi ya shati kama kumbukumbu
Mama akimkabidhi K zawadi ya kitenge
Mama na Mkweeeee.

Pokea zawadi

Simply nice

Wakweeee.

Nasaha

Kwani nyie ni ndugu?

Dan Chibo & Florian

Florian & Francis

DC & Chichi

We Paroko geuka, mwenzako anakung'ong'a

Madebe nini tenaaa!?

We BSS nini tena, mnyama yuko mwituni

Hapa ni Heineken tu, maji kwa mbaaali

Turudi mitamboni kwa matangazo......, swali la kizushi JE HUYU NI NANI?
Haya Chachaaaa!
Wazee wamujini wanaingia
Bwana harusi alipobebwa juu
Pamoja tunawakilisha

Tunawakilisha Part II

Hongereni saaana.

Shughuli imeanza

Kadansee

Kila mtu na mtu wake

Shughuli inaendelea

We Manji vipi tena!?

Danny Kampambe Vs Jenniffer

Mpambano unaendelea

Agaaah
Wanaumeeeeeeee.....!

Mjwahuzi weeee, wacha mucheso

Kazi ilikuwa hapa nani ZAIDI?

Asie na mwana aeleke HEINEKEN

Mkuu wa ma-bodigadi akitoa maelekezo

Manji Manji angalia usianze kusinzia
Ma-bodigadi wakimtoa Bwana na Bibi Harusi kwenye Garden ya Lamada
Dalili Ya Mvua ........ inaonekana!
Ze End