Saturday, May 7, 2011

TBC fm Top 20

TBC fm top 20 ni kipindi cha radio kinachokupa taarifa ya nyimbo 20 zilizofanya vizuri kwenye kituo cha Radio kiitwacho TBC fm kwa wiki nzima, kipindi huwa hewani kila Jumapili kuanzia saa 8 mchana mpaka 10, kikiandaliwa na kuongozwa na Dan Chibo a.k.a Wa Milazo.

No comments:

Post a Comment