Washabiki wakiingia eneo la tukio kushuhudia mpambano
Tonny Samaka a.k.a Yayoo mdau wa Man U akiingia eneo la tukio
Wadau wakifuatilia, mpambano umeanza
Dalili ya daraja kuwa kwenye hali ngumu inaonekana, cha ajabu zaidi ni mashabiki wa timu nyingine walikuwa upande wa Chelsea
Brian Bennet, Sele Mitimingi na mdau wakifuatilia kwa makini mpambano.
Mara goli la kwanza limeingia
Urafiki wa mashaka, half time imefika
Cheers kwa washabiki wa Man U
Wadau wakifuatilia kwa makini mpambano
Presha inapanda presha inashuka
Dah....! atatoka mtu kweli....! mpaka kieleweke.
Ni bao la pili kwa Man U na jambo limeisha
Mdau wa Chelsea hoi...! muite Teacher
Hatimae mpambano umeisha, Man U 2 Chelsea 1
No comments:
Post a Comment