Thursday, November 3, 2011

Sendoff ya Edith Katika Picha

Woooh......! Karibu Mpenzi

MP na sio MC akimwaga sera huku A na E wanamcheki.

A anammezea MP ila akizidisha fix atamchenjia, pembeni E akitabasamu

Kumbuka tulipoanza darasa la kwanza herufi ni a, e, i, o, u. Ila hapa ni A na E tu

A anatabasamu E katulia, soon A atalianzisha

Best na Man

Anatory Mtarajiwa a.k.a PAROKO wa GLP

Watu warefu bwana, cheki shida hizi

Mbu usilete umbea


Haya sasa wenyeweeee mmetaka kupiga picha, nani anang'oka?

Sele Sadiki a.k.a Miti 800
Kamba zinaendelea, ila warembo washamshtukia na mashairi yake ya kutungiwa

Wameuza hawajauza?

Eti hawa ndio wanafata, nani kasema...!?

Kumbe kuna watu wako Photogenic

Wake watarajiwa, Mrs. C & Mrs. M wa baadae sana

Mamaaa Hidaya na kat' ya......!

Glorie Alu Ngahyoma (Mtarajiwa wa badae sana)

No Comment

Nice one

Tonny Yayo a.k.a Mfano wa Mtu

Paling'aa

Ninyi lini...!?

Na Ninyi?

Mtarajiwa keshapongezwa kabla

Mnambana sana, mpeni nafasi amwage Kiduku chake

Manji na shemejiiii!

Ya ukweli kuliko

Nami nimo

Paparazi naomba uishie hapo

No comments:

Post a Comment