Thursday, November 3, 2011

Dadaz NITE a.k.a Ladies FREE

 
Kila siku za Ijumaa ndani ya Galapo Club Masai (Ilala) kunakuwa na Bonge la Disco
 
Dj Dan Chibo wa TBC na Dj Mickie Love (Michael Saduka) wa Times fm. wanakuwa kwenye 1&2.

 Zawadi zinatolewa kwa wadada wali-SEXY wenye kuwa na SWAGGA, kwa wastani mdada atakaye PAGAWISHA kuliko anajishindia zawadi za VINYWAJI ma PESA taslimu!

 Wanawake wanaingia Bure na Wanaume wanalipa sh. 3,000 tu.
Si ya kukosa, Ijumaa hii na Kila Ijumaa.
 
Karibuni wote...!

No comments:

Post a Comment