Tuesday, November 8, 2011

Harusi ya Anatory na Edith Katika Picha

Mr. & Mrs. Anatory Mweyo

Edith & Anatory

So Lovely

What More Can I Say?

Now and Always

Bro Richie & Sista Joy

Chris Bennet & Mam Kavana

Kala & Timah

Geofrey Kimbunga & Anna Toure

Hidaya & Edwin

Glorie & Dan

Fatmah & Chichi

KB & Agatha

Japo & Asia

Mr. & Mrs. Kelvin

Gina & Lilly

Roger & Flora

Baraka & Masha

Patrick & Beatrice

Sele & Lisa

Mbonnie & Tonnie

Koplo Albert & Asha

Gina alivyo makini unaweza muona kama mtu kweli

Mwili hujengwa na Misosi, unene unatokana na sababu za msingi

Urafiki wa Mashaka

Warembo hakika walipambisha

Omari Manji na Mzee wa K.

Yanga nao Waliwakilisha

Kampambe na Mpambe

Wazee wa Zenj Hotel, Tunaomba mualiko

Kuna watu wana haja ya kufanyiwa vipimo, tukianza hapa

Neno la Paroko ni muhimu sana kwa Kondoo wa Bwana

Usiku huu lazima wewe na Mkeo mtoe show ya nguvu

Ok poa, ila kwa kuanza ngoja nipashe na wako

Haya sasa kazi inaanza, walikuwa hawatujui eeeh, tuwaonyeshe

Paroko Kapatikana, kumbe naye anajua kucheza

Wacha Mucheso

 Prakatatumbaaaaa

Ni kivumbi na jasho, tuwaonyeshe sasa

Nahisi kuanza choka, tukapumzike Mke wangu

Phillip na my wife wake ni kicheko mpaka jino la 38 out

Kila mtu na mtu wakeeee, tumba tumba aaaii

Mkuu wa Itifaki Uncle J ndani ya house

Chezea Timah wewe, Chezea matunzo yakidosi, Chezeaa!
Umeuza mama

Timah weeee

Kuna watu hawaachi asili yao

Kalingonji na mzungu ndani

Twende Kali, show me what you got.
Ila hukunieleza kama huyu ni dada au mtoto wa mjomba
Maana mmefanana kweli.

Mduara chacha

Haya tena

Halo Haloooooo!

Pale ukumbi ulipocharuka

Sijui anamlia nani timing

Ni sawa sawa sawaleeee

Wabongo na utamaduni wetu, kwani hakuna sehemu zingine za kushika?

Umeshawahi kuchunguza uso wa Gerrald au Lampard wanapopiga shuti

Omari a.k.a Kwaya masta

Leo ndio leo

Wakamuweka mtu kati 

Ikawa kama haitoshi vile, mtu juuuu

Uncle J akifuatilia kwa mbali

Ikabidi Besti Maridadi Manji amtoe bwana mkubwa

Hoi!

Huku nako steps ni kwa kwenda mbele

Kijana jiangalie, kamera imekubamba mara ya pili na huyo mtu

Asie na mwana aeleke jiwe

Ni ku-pareee mpaka kwa tebo 

Urithi wetu uliotukuka

Hamnaga kitu kama hii bana

Na mwisho wa siku hamna rangi utaacha ona baba ake

Sharobraza vs Sharokaka

Vipi tena wamilazo, ndio kusema?

Gina Gina Gina, acha mizuka

Jamani Valentine ni mbali, mpaka ifike yatakuwa yamenyauka

Hebu nisaidieni jamani, nini kinaendelea hapa?

Manji na uhakika wa meza, bila shaka wala wasi mambo ni muswano

Mbonnie Tonnie

Flora Roger

Hidaya Edwin

Glorie Dan

Ma' Do macho hayo, lawama

Jomba Humphrey

Kala

Muddy Vancouver

 Yunge

Kapilima Mpogoro

Roger

Papaa Chami na Warembo

Mjomba na Mama Mzaa Chema

Kwenye meza kuu ya Wakwe ni Mjomba na Ba' Mkwe

Timah & Hidaya

Kala & Timah

Baba na Mama rasmi wa Abbriana

Kelvin a.k.a Macho na Mrs. wake

Gina wa Gina Mtoto Rasmi wa Urithi akiwa na Lilly

Glorie Ngahyoma & Dan Chibo

Roger na lake ua laitwa Flora

Chichi na wake Mwenza Fatmah

Mr. & Mrs. Manjenje

Kutoka Mahenge, tunawatambulisha Watua Orijino

Chichi & Chami (Double C)

Kama si wabongo, The Movie Stars

Chichi & Chibo, The real pimps

Sele a.k.a Miti 800 akiwa na Mdau

Wazee wa Anfield, wazee wakutokata tamaa

Blood Brothers

Zamu ya marafiki wa Anatory

Hidaya mbele nyuma yake ni Timah

Best friend Manji Mzee wa Dolla

Koplo Albat Shukia, mzee wa V mbili

Glorie na nyuma yake ni Roger akifatiwa na Kitimoto


Takwimu zisizo rasmi zilisema Idadi ya marafiki wa Anatory ilikuwa ni robo ya waalikwa wote.
Na huu ndio msafara wao kwenda kuwapa mkono Maharusi.

Manjenje bwana, kuku wako mwenyewe manati ya nini?

Wasambaa bwana, wacha tu wawe wachache.
Imagine huyu ni wa 70 kati ya wale 100 wanaotimiza idadi yao hapa mjini.


Neno toka kwa marafiki, na mibinyo ya macho ikichukua nafasi zaidi.
Najuta hata kwa nini nilimtuma huyu akatuwakilishe.

Ratiba zingine zikiendelea

Mitamboni mambo ni zaidi ya CNN

Mhhh, ni story tatu kwenye picha moja, sijui inaelezaje?

 Pole Ma' do kwa shughuli nzito


Safari ya kuelekea Zenji ikaandaliwa

Nakumbuka shindano la Miss, pale mshindi alipokuwa yeye

Wooooh

Wakitoka getini

Nje ya Garden Maharusi wakiagwa, huku mtu mmoja akimmezea mate mtu

Kula, Kunywa mpaka Kusaza

Dakika za majeruhi


Mwisho wa Kunukuu.